Lazima Tumuue Rais
Kwenye vita kati ya giza na nuru, je, ni kweli kwamba siku zote lazima nuru itashinda?
LAZIMA TUMUUE RAIS.
Hii sio zile hadithi za kawaida. Hii ni njama. Njama chafu na ya kikatili kwelikweli inayowahusisha Mhandisi, Shetani, Kivuli, Jini, Mchawi, Mtutu, na matajiri wakubwa, dhidi ya Rais— njama inayoendeshwa kupitia ‘Operesheni Armageddon!’