Life Is Password
Maisha hayafunguki kwa nguvu, Bali kwa "Password" sahihi. Kila hatua ya mafanikio na kila mlango wa fursa una siri yake maalum. Kitabu hiki ni ramani ya kukuonyesha siri zilizojificha nyuma ya milango ya hatima Yako.
Samwel Kisai anafundisha jinsi ya kutambua alama za nyakati, kanuni za kiroho na kimwili, na namna ya kuingiza "Password" sahihi ili kufungua maisha uliyopangiwa kuishi. Acha kupoteza muda kubisha hodi kwenye milango iliyofungwa; jifunze siri ya kuifungua na uingie kwenye hatima Yako.
Others Also Bought
Wealth by death: The Silent Mourners
15,000.00 TZS
Making it Happen
6,000.00 TZS