Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Makosa Makubwa 21 Wanayoyafanya Wasichana Wengi

Makosa Makubwa 21 Wanayoyafanya Wasichana Wengi

TZS 6,999

Paperback eBook
Add to cart  

Makosa au kukosea ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu, halikadhalika wasichana walio wengi wanakosea sana ama kwa kutojua na wakati mwingine kwa kujua kabisa wakiendeshwa na hisia (Feelings).

Kosa au kukosea ni kule kufanya jambo lisilo sahihi au sawa (Doing something which is not correct) lakini pia kosa ni kule kutambua, kuelewa au kuelezea jambo au mtu visivyo (wrongly identified someone or something) na pia kosa ni kule kufanya maamuzi visivyo sahihi (Making Error of judgment) maelezo haya yote matatu wasichana wengi wanajikuta wamekosea,

  1. Wanafanya mambo yasiyo sahihi
  2. Yapo mambo wanayoelewa, wanayatambua, na kuyaelewa visivyo
  3. Yapo maamuzi mengi wanayoyafanya kinyume na kanuni, na mambo yote haya yamewafanya kujikuta wanafanya makosa mengi makubwa ambayo yamekuwa yakiwagharimu maisha yao, malengo, mipango na hata ndoto zao.


Recommended for you

Kwako binti ambaye bado hujaolewa
Kwako binti ambaye bado hujaolewa
TZS 10,000
View options
Barua kwa binti
Barua kwa binti
TZS 7,000 TZS 5,000
View options
A Noble Girl of Nowadays
A Noble Girl of Nowadays
TZS 9,999
View options
Mambo 11 kutoka kwa wanawake waliofanikiwa
Mambo 11 kutoka kwa wanawake waliofanikiwa
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.