Mitandao ya kijamii ilivyoiba furaha ya wengi
Kitabu hiki ni maalumu kwa watu ambao wamepoteza furaha na amani katika Maisha yao, hawaoni raha kwa vitu walivyonavyo na hawawafurahii watu wanaowazunguka kwa sababu tu ya vile walivyoviona na kuvisikia kutoka katika mitandao ya kijamii.
Naamini kwamba utakaposoma kitabu hiki Roho wa Bwana atakupatia maarifa mapya na utaendelea kufurahia maisha yako bila kuathiriwa na mitandao ya kijamii yani; facebook, whatsapp, telegram, Instagram, twitter, youtube n.k
Others Also Bought

Kwanini Nimezaliwa?
TZS 10,000

Msichana Mjinga
TZS 4,999

Ukweli wa Maisha
TZS 10,000

Maisha ya vuguvugu yanavyoathiri maisha ya mtu kiroho