Mtoto wa Afrika Anayetawala Dunia
Mtoto wa Afrika anayetawala dunia ni mwongozo na kifaa kilichojaa mbinu na siri za kuutawala ulimwengu wako kutokea ndani yako. Haupaswi kuwa mhangwa na mwathirika wa mazingira na mambo yanayotokea katika ulimwengu, bali wewe ni muumbaji wa ulimwengu wako.
Kila sura imesheheni siri za kukuonesha hadhina za ukuu ziliyopo ndani yako ili kupata matokeo ya maisha ya furaha, amani, uhuru, afya bora, utajiri wa fedha na mali, pamoja na nguvu ya kuleta matokeo katika dunia inayokuzunguka.
Others Also Bought
Malezi ya mtoto wa Karne ya 21
5,000 TZS
SmartPesa Kid’s: Mwongozo wa Kumfundisha Mtoto Elimu ya Pesa Mapema