Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • MWAKA MPYA

MWAKA MPYA

TZS 5,000

Paperback eBook
Add to cart  

Kila mtu anapouanza mwaka mpya huwa na ndoto, mipango na malengo makubwa anayopenda kuyatimiza. Lakini kwanini wengi huanza na moto mkali halafu huishia njiani? Kwanini baadhi wanafanikiwa na wengine wanakwama kila mwaka?

Katika kitabu hiki, Abel J. Ngeleja anakupa mwongozo wa vitendo – mambo 10 muhimu unayopaswa kuyafanya ili malengo yako ya mwaka huu yaweze kutimia kwa mafanikio makubwa.

Utafundishwa:

  • Umuhimu wa kuandika malengo yako
  • Jinsi ya kupanga mipango yenye mafanikio
  • Hatua za kushinda vikwazo vinavyoweza kukuzuia
  • Mbinu za kujenga nidhamu binafsi
  • Mikakati ya kujipima na kujirekebisha
  • Njia za kushirikiana na watu sahihi katika safari yako
  • Na mambo mengine ya msingi kwa mafanikio yako

MWAKA MPYA si tu kitabu cha kusoma — ni ramani ya maisha yako kwa mwaka mzima. Ni kama kifurushi cha nguvu (package) kilichojaa kanuni, tafiti, ushuhuda na mbinu madhubuti zitakazokusaidia kuacha kuishi kwa mazoea na kuanza kuishi kwa ushindi.

Unapopambana na kupigania mafanikio yako kwa nguvu sawa na ulivyopigania pumzi ndani ya maji – utashinda.


Recommended for you

Unatengenezaje fursa kwenye maisha?
Unatengenezaje fursa kwenye maisha?
TZS 2,999
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.