Namna ya kuwa mtaalamu ukiwa bado unasoma
Kila mtu unayemuona ni mtaalamu katika eneo fulani kuna siku alikuwa ni mtu mpya kwenye hali hiyo ambayo leo hii inamfanya aonekane mtaalamu.
Utaalamu ni kitu unachoweza kujifunza kama ulivyojifunza kusoma na kuandika au kutembea na kuongea. Kuanza kujifunza utaalamu mapema ni jambo la busara mno katika chaguzi zako unazoweza kuzifanya katika karne hii, hasa ukianza kujifunza namna ya kuwa mtaalamu ukiwa unasoma ili ukija kuhitimu tayari unaweza kusimama kama mtaalamu kinara. Watu wakihitaji mtaalamu wewe uwe wa kwanza. Kitabu hiki ni jibu tosha la mtu yeyote mwenye kiu na ndoto ya kuwa mtaalamu.
Dunia ya leo inawapokea wataalamu kwa mikono miwili hivyo ni jukumu lako leo kuanza kujifunza namna ya kuwa mtaalamu.
Recommended for you

Hitimu kabla ya kuanza chuo
TZS 10,000