Nguvu ya umoja katika kundi
Kitabu hiki ni maalumu kwa watu wote walio katika vikundi mbalimbali, wanaotaka kutimiza malengo yao na maono yale waliojiwekea katika mipango yao.
Vikundi hivyo vinaweza kuwa familia, kanisa, sehemu, jimbo hata taifa kwa ujumla. Hivyo kitabu hiki ni maalumu kwa kila mtu aliye na kiu ya kufanikiwa jambo pamoja na mwenzake.
Ni kitabu ambacho ukikisoma kwa umakini sana, unaenda kuwa msaada kwa kanisa la Mungu ulimwenguni. Mungu akutie nguvu unapokisoma kitabu hiki.
Recommended for you

Tanuri la Furaha
TZS 8,999

Ushindi katika hali ngumu

Jirani Yangu