Priceless: Thamani ya Msichana
Msichana "PRICELESS" ni yule:-
- Mwenye Kumcha BWANA, Na Kumpa YESU nafasi ya kwanza kwenye maisha yake.
- Mwenye Kujitambua
- Mwenye Uwezo wa Kujitofautisha
- Mwenye Uwezo wa Kutofautisha Jema na Baya
- Mwenye Uwezo wa Kufikiri kwa Kina juu ya Jambo, na kutoka na Majibu yenye mashiko
- Mwenye Kugundua Hazina/Talanta alizonazo, kuzinoa na kuzitumia
- Mwenye Uwezo wa Kuona mbali zaidi ya Anapoangalia
- Mwenye Uwezo wa Kutambua Majira na Nyakati na kuyasimamia kwa HEKIMA
- Mwenye Uwezo wa Kujisimamia binafsi na kufanya Maamuzi sahihi
Others Also Bought
Msichana Mjinga
4,999.00 TZS
Makosa Makubwa 21 Wanayoyafanya Wasichana Wengi
6,999.00 TZS
A Noble Girl of Nowadays
9,999.00 TZS
Kwako binti ambaye bado hujaolewa
Not available