Sheria ya Kumiliki na Kutawala
Si mapenzi ya Mungu watu waishi maisha ya kimasikini yaani maisha ya kukosa; chakula, mavazi wala makazi. Kwa nini, basi watu wengi ni masikini? Kwanini wachache ndio wanaomiliki na kutawala vitu?. Je! Unamiliki na kutawala au unamilikiwa na kutawaliwa na vitu ulivyopewa kuvimiliki na kuvitawala?
Kitabu hiki cha Sheria ya Kumiliki na Kutawala, kitakuonesha kanuni zinazotumiwa na wengi kupata, kudhibiti na kutawala mali, vitu na watu. Usiache kukisoma mpaka mwisho.
Recommended for you

Vita ya Baraka (The War of Blessings)