Siri Adimu za Upishi wa Keki
Siri Adimu za Upishi wa Keki ni mahsusi kwa wanaoanza na walio hatua ya kati ya kujifunza namna ya kuoka na kupamba keki. Kitabu hiki kitakufundisha hatua kwa hatua namna ya kukoka na kupamba keki za Vanilla, redvelvet, chocholate cake, lemon Cake, cupcakes na marble cakes. Kila hatua inaendana na picha.
- faida kubwa ni pamoja na kuwa utaweza
- kujiajiri kwa kuanzisha Bishara ya bekari
- kuajiriwa katika bekari
- Kuipikia familia yako.
Tokea kiandikwe kimeuza zaidi ya nakala 5000 na ni mojawapo ya sababu kubwa ya kufumuka kwa bekari nyingi hapa Tanzania.
Others Also Bought
Aleji ya Chakula na Kutostahimili Chakula
10,000.00 TZS
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
Healthy eating and nutrition
3,000.00 TZS