Siri ya nguvu iliyo ndani yako
Kitabu hiki si tu maandishi kwenye karatasi, bali ni zawadi kwa kila mtu aliyeamua kukinunua na kwa shauku ya kutaka mabadiliko. Ni kwa ajili ya yule ambaye amejiuliza maswali ya ndani:
- Je! ninaweza kuwa zaidi ya hivi nilivyo?
- Je! kuna nguvu nyingine ndani yangu ambayo sijawahi kuitumia?
- Ni nini siri ya maisha yenye utimilifu na mafanikio?”
Kwa kila msomaji anayechukua hatua za kusoma au aliyekisoma kitabu hiki si kwa haraka bali kwa tafakuri, aliyechukua muda wa kujifunza, kutafakari, na kutamani kubadili maisha yake, huu ni ujumbe wako:
Wewe ni zawadi kwa dunia hii, na safari yako ya ukuaji ina thamani kubwa isiyo ya kawaida.
Recommended for you

Siri nne (4) za kufanikiwa
TZS 4,999

Nguvu ya Maamuzi
TZS 7,000