Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Uadilifu wa Kiongozi
Tatizo kubwa sana tulilonalo leo sio kukosekana kwa viongozi, bali kukosekana kwa viongozi waadilifu.Hili ni tatizo kubwa ndani ya Kanisa na nje ya kanisa. Leo ni adimu sana kuwapata Viongozi waaminifu. Viongozi wanaoweza kuaminika na kutegemewa, ambao wapo vilevile, wasiobadilika.
Katika kitabu hiki utapata fursa ya kujifunza kwa mapana sana kuhusu uadilifu ambao ni jambo la muhimu sana katika uongozi. Utajifunza Uadilifu ni nini, Tabia ya uadilifu kwa kiongozi, Maisha ya uadilifu kwa kiongozi, Uadilifu katika masuala ya fedha, Uadilifu katika ngono, Faida za kuishi maisha ya uadilifu, na Jinsi ya kuwa na maisha ya uadilifu.