Utambulisho wetu, Utalii wetu
“Tumerithishwa tuwarithishwe, utalii wa ndani unaanza na mimi na wewe.” Karibu katika kitabu hiki cha UTAMBULISHO WETU, UTALII WETU cha mwandishi wetu Careen M. Mkumbi, mtoto mwenye umri wa miaka 12 anayeelezea ndoto yake ya kuwa balozi wa vivutio nchini Tanzania.
Katika kitabu hiki kalamu yake imetufunulia utajiri asilia tulionao wana Vikindu. Karibu tutalii pamoja kwenye Hifadhi ya Msitu ya Mazingira Asilia Vikindu. Karibu tutalii kwenye Ukindu.
Others Also Bought

Serengeti - Wonderlust Treasure
TZS 15,000