Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Mahusiano sumu - Viashiria 7 vya mahusiano hatarishi
Je upo kwenye MAHUSIANO au NDOA? na unatamani mfike mbali? Unatamani muwe wa mfano?. Basi naomba nikufahamishe leo, MAHUSIANO huweza kusababisha ufanikiwe sana katika maisha yako, na MAHUSIANO hayo hayo huweza kukufelisha kabisa kimaisha.
Hivyo basi kwa jinsi MAHUSIANO yalivyo na nguvu kiasi hiki, nimeamua kukuletea kitabu hiki ambacho ndani yake utapata nafasi ya kuzifahamu dalili zote za hatari katika MAHUSIANO. Si hivyo tu, bali utapata kujua sababu ya dalili hizo; na kama ujuavyo kujua sababu ni kupata njia. Na hii itakupa urahisi wa wewe kuweza kuyaboresha MAHUSIANO yako ili yawe chachu ya wewe kufika mbali zaidi kimaisha.