Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Uchumba wa sasa madhara yake
Uchumba ni hatua ya mahusiano ya kimapenzi ambayo wapenzi wawili wa jinsia tofauti wanayaanzisha kwa lengo la kuishi pamoja, mahusiano haya ni mahusiano ya mpito na yasio husisha kujamihiana. Mahusiano kati ya kijana wa kiume na wakike yana hatua tatu, hatua ya kwanza ni urafiki, hatua ya pili ni uchumba na hatua ya tatu ni ndoa.