Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Ndoa na mahusiano
  • Fahamu Misingi na Kanuni za Ndoa

Fahamu Misingi na Kanuni za Ndoa

TZS 15,000  TZS 10,000

Paperback eBook
Add to cart  

NDOA ni taasisi iliyokusudiwa na Mungu idumu milele, ni agano linalo muunganisha mwanaume na mwanamke katika umoja wao kuwa na NGUVU na UBORA zaidi katika kile walichoumbiwa na Mungu kuwa. 

Watu wengi sana leo hii walio na matatizo ya kiuchumi, magonjwa au watu wanaokufa mapema, chanzo chake ni MAGUMU yaliyomo ndani ya ndoa. 

Hata leo hii ukifuatilia watu wengi sana ambao Mungu amewaita kwenye utumishi wake, wamekwama, kisa kikubwa kilichowakwamisha ni matatizo yaliyomo kwenye ndoa zao. Hivyo baada ya kuyaona hayo yote nikapata hamu ya kuanza kujifunza kwa bidii kile nilichokipitia MIMI BINAFSI KWENYE NDOA YANGU na ambacho Mungu anataka nikitumie kuwafundisha watu wake ili kiwasaidie na kuwajengea uwezo wa kufahamu,kuelewa na kufurahia maisha yao ya ndoa.


Recommended for you

Siri ya kutengeneza ndoa bora
Siri ya kutengeneza ndoa bora
TZS 8,000
View options
Ndoa si Ndoano
Ndoa si Ndoano
TZS 10,000
View options
Nuru ya Upendo
Nuru ya Upendo
TZS 5,000
View options
Ushauri wa Ndoa katika Mtazamo wa Kibiblia
Ushauri wa Ndoa katika Mtazamo wa Kibiblia
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.