Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Ndoa na mahusiano
  • Kwako binti ambaye bado hujaolewa

Kwako binti ambaye bado hujaolewa

TZS 10,000

Paperback eBook
Add to cart  

Kumekuwa na wimbi kubwa la changamoto katika mahusiano, ndoa na hata malezi.

Changamoto hizi zimewakumba wengi na miongoni mwa kundi ambalo limeathirika ni mabinti. Kuna walioolewa ambao wanatamani watoke kwenye ndoa, na kuna ambao hawajaolewa wanatamani kuingia kwenye ndoa.

Wapo walioolewa ambao wanatamani muda urudi nyuma warudie kipindi cha kabla ya kuolewa na wapo ambao bado hawajaolewa ambao wanaona kipindi cha kabla ya kuolewa ni kama laana au hakifai kuwepo kabisa. Kuna ambao wameolewa na bado wanajiona wapweke, na kuna ambao hawajaolewa wanataka kuolewa ili waondoe upweke. Kuna sababu nyingi ambazo zimepelekea mambo kuwa hivyo ikiwemo mitazamo katika jamii.

Ndani ya kitabu hiki, mwandishi amefafanua na kuelezea sababu zinazowafanya mabinti wengi kuathirika na mambo hayo, na pia ameeleza ni nini binti anapaswa kufanya ili kuukomboa wakati na kuutumia vizuri kabla hajaolewa na hata baada ya kuolewa ili aishi maisha yenye faida na sio hasara katika kipindi cha yeye kuishi hapa duniani.


Recommended for you

Uchumba wa sasa madhara yake
Uchumba wa sasa madhara yake
TZS 3,500
View options
Subiri Ndoa
Subiri Ndoa
TZS 5,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.