Mahusiano bora kabla na ndani ya ndoa
Katika kitabu hiki cha “ Mahusiano kabla na ndani ya Ndoa” utajifunza mambo yafuatayo:
- Kusudi la Mungu kuhusu Ndoa
- Muunganiko wa kusudi la kuumbwa kwako na Ndoa yako
- Umuhimu wa kujua udhaifu wako ili ujenge mahusiano bora
- Tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume
- Changamoto za mahusiano kabla ya Ndoa
- Changamoto za mahusiano ndani ya ndoa
- Namna ya kukabiliana na changamoto za mahusiano
Recommended for you

Mahusiano 707
TZS 10,000

Ndoa si Ndoano
TZS 10,000