MAPENZI NJE YA KITANDA
Kitabu hiki ni uchambuzi wa kina wa saikolojia ya mahusiano ya kimapenzi, unaolenga kuufanya ukaribu wa kimahusiano uwe wa kudumu na kuridhisha zaidi ya tendo la ndoa. Kinachambua kiini cha mahusiano ya kimapenzi na jinsi hali za kihisia, mawasiliano, na matendo ya kila siku nje ya tendo lenyewe vinavyounda msingi wa furaha ya mahusiano.
Lengo kuu la kitabu ni kumwezesha msomaji kuelewa lugha halisi za upendo za mwanamke na mwanaume zinazopishana; jinsi mwanamke anavyopima upendo kwa KIWANGO CHA KUJALI na mwanaume anavyopima upendo kwa KIWANGO CHA HESHIMA
Kinatoa kanuni za kuondoa migogoro, kurekebisha tofauti za kimitazamo, na kujenga daraja la maelewano ya kina. Kimsingi, ni mwongozo wa KUBORESHA TENDO LA NDOA kwa kuanza kuimarisha mahusiano ya kihisia na kisaikolojia.
Others Also Bought

