Ndoa na maisha ya wanandoa
Ndoa na maisha ya wanandoa ni kitabu cha kipekee kabisa kwa ajili ya suluhu ya wanandoa. Migogoro ya wanandoa, wajibu wa mwanandoa kwa mwenza wake, maisha ya kila siku na faida za tendo la ndoa ni moja wapo wa mambo yaliyofunuliwa, jinsi ya kumjua mwenza wako na kumtosheleza shauku yake ya ngono na matarajio yake kwako maishani mwake. Yafuatayo ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika kitabu hiki.
- Malengo makuu ya ndoa.
- Nguzo kuu nne za ndoa.
- Vyanzo 17 vya migogoro ya wanandoa na hekima ya kuitatua.
- Maisha ya ndoa kwa wanandoa.
- Umuhimu wa tendo la ndoa kwa wanandoa na faida zake kiroho na kiafya.
- Wajibu wa mwanamume na wajibu wa mwanamke ndani ya familia.
- Ndoa halali mbele za Mungu ni ipi?
- Sumu inayoua ndoa