STYLE KWA WAPENZI WANENE
Kitabu hiki ni mwongozo maalum na wa kiufundi kwa watu wazima wenye umri kuunzia miaka 18, unaolenga kuwapa mikakati ya vitendo wapenzi wenye maumbile makubwa, kuhakikisha wanapata raha na utamu usioelezeka katika tendo la ndoa.
Kinachambua kwa kina saikolojia na fizikia ya miili minene, kikifafanua tofauti za kimaumbile na jinsi zinavyoathiri faraja, kina cha kupenya, na uwezekano wa kufika kileleni.
Lengo kuu la kitabu ni kuwasaidia wapenzi kutambua na kutumia 'style' (mikao) inayofaa zaidi maumbile yao, huku ikivunja dhana potofu kuhusu miili minene. Kinatoa kanuni za kuchagua mikao ambayo inapunguza shinikizo na uchovu, huku ikiongeza ukaribu na uwezekano wa kugusa maeneo muhimu ya hisia (G-spot).
Kinatoa kanuni za kuzuia kufanya makosa yanayoweza kusababisha maumivu, usumbufu, au kukata tamaa kimapenzi kwa sababu ya kutumia mikao isiyofaa. Kimsingi, ni wito wa kujiamini na kutumia maumbile yenu kama faida, na kutoa mwongozo wa jinsi ya kufurahia mapenzi bila ukomo na kwa ubunifu.
Others Also Bought
