Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Akili Iliyoponywa Kuhusu Fedha

Akili Iliyoponywa Kuhusu Fedha

  5,000.00 TZS
Add to cart  

Hata serikali ya Muungano wa Tanzania ikiamua kuchukua mali zote za matajiri na kuamua kuwagawia watu wote na maskini kwa usawa kitakachotokea baada ya mwaka mmoja ni tajiri kubaki tajiri tena na masikini atabaki kuwa masikini tena.

Watu wengi wakipata pesa hukimbilia kununua gari wakidhani tabia ya mtu kuonekana ana pesa ni kuwa na gari, hapana, si kweli, usinunue gari ikiwa bado hujawekeza baadhi ya mali. Wekeza mali nyingi sana kwa sababu zitakupa pesa nyingi ambazo zitakurahisishia kununua gari bila kupata maumivu. Gari itakusaidia kwenye usimamizi wa mali ulizowekeza.

Nakushauri uwe na busara unapopata pesa. Ikiwa mshahara wako ndio chanzo pekee cha mapato yako, hiyo ni hatua ya kuelekea umaskini. Weka akiba katika kila mapato na utumie akiba hiyo kuwekeza. Soma kitabu hiki ukurasa hadi ukurasa usiruke, baada ya kukamilika kwa kitabu hicho utapata uzoefu wa kiwango kingine cha maisha yako


Others Also Bought

Ichaji Akili Yako Ya Fedha
Ichaji Akili Yako Ya Fedha
8,000.00 TZS
Mambo 7 Ya Muhimu Kuhusu Fedha
Mambo 7 Ya Muhimu Kuhusu Fedha
4,900.00 TZS
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
15,000.00 TZS
Mpenyo - Nidhamu ya fedha
Mpenyo - Nidhamu ya fedha
10,000.00 TZS
Ijue Elimu ya Fedha
Ijue Elimu ya Fedha
10,000.00 TZS 5,000.00 TZS
Kanuni ya Utajiri: Njia ya uhuru wa kifedha
Kanuni ya Utajiri: Njia ya uhuru wa kifedha
50,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved.