Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Deni la dhababu

Deni la dhababu

  20,000 TZS
Add to cart  

Kitabu, “Deni la Dhahabu” ni kati ya vitabu vichache sana sokoni ambavyo vinaweza kubadilisha namna unavyofikiri kuhusu mali na hali yako halisi ya kiuchumi. Chanzo cha umaskini au utajiri ni jinsi mtu awazavyo, “Awazavyo/aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo” (Mithali 23:7). Kama ukiweza kuwaza sahihi kuhusu jambo fulani, utalipata jambo hilo; Na, ukiwaza vibaya kwa namna hasi, bila shaka utalikosa. Mawazo ni vitu, tena vitu halisi; Kitabu hiki kinakupa sio tu namna ya kufikiri lakini pia jinsi ya kufikiri.

Mwandishi wa Kitabu hiki, Gastor Hilary Mtweve, amejikita kwenye “falsafa ya uhalisia wa mambo” (Pragmatism), ambayo inamfanya msomaji aone uhalisia wa maisha yake mwenyewe na sio nadharia tu, au watu wengine wanavyo muona. Kila aliyefanikiwa kimaisha alifanya uamuzi wa dhati wa kukubali ukweli (kwamba hali ni mbaya), na akachukua hatua za kupambana na hali yake ili kujikwamua. Huu ni uamuzi wa mara moja lakini matokeo yake yanaweza kuja baada ya muda mrefu kulingana na mazingira ya mhusika.

Kitabu hiki ni kiongozi mzuri wa kukuwezesha kuchukua hatua za
mabadiliko ya maisha yako hasa ya kiuchumi.



Others Also Bought

Mfuko wa dharura
Mfuko wa dharura
15,000 TZS
Njia za kukustawisha kiuchumi
Njia za kukustawisha kiuchumi
5,000 TZS
Ichaji Akili Yako Ya Fedha
Ichaji Akili Yako Ya Fedha
8,000 TZS
Usichokijua Kuhusu Biashara
Usichokijua Kuhusu Biashara
4,999 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved. | login