Ijue Biashara kwa Kina
Kitabu hiki "IJUE BIASHARA KWA KINA" mwandishi amekiandika kwa lengo la kufundisha jamii ili kuepukana na changamoto sugu ambazo watu wamekuwa wakikutana nazo katika sekta ya biashara na kuwapelekea wengi biashara zao kudumaa na biashara zingine kufa kabisa .
Kwa hiyo Kitabu hiki kimejikita sana kuelezea vitu vya muhimu kwenye biashara kama vile;-
- Maana ya Biashara. Hapa utaelewa nini maana ya neno Biashara. Kwa sababu watu wengi wanaelewa Tu kwamba biashara ni kununua na kuuza kitu ...Nadharia ambayo sio kweli kabisa. Biashara ni kitu kipana sana ,, inahitaji kujifunza Muda wote.
- Aina za Biashara. Katika kipengele Hiki utajifunza Aina mbalimbali za Biashara,ili uelewe ni biashara ipi inayokufaa na unayoiweza wewe ili uweze kuanzisha na baada ya muda ifanikiwe.
- Mtaji wa biashara. Hapa utaelewa vizuri NI njia zipi uzitumie ili upate mtaji Kwa urahisi
- Maswali ya kujiuliza kabla ya kuanzisha biashara.
- Mpango wa biashara n.k
Usomapo Hiki kitabu, hautabaki kama ulivyo.
Others Also Bought
 
                                                                                            
                                                Tumia Fursa Tengeneza Biashara
                                            
                                        
                                                                                     
                                                                                            
                                                Jikomboe kiuchumi na ujasiriamali
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 6,500
                                                                                            
                                                                             
                                                                                            
                                                Elimu Ya Uwekezaji
                                            
                                        
                                                                                     
                                                                                            
                                                Njia za kukustawisha kiuchumi
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 5,000
                                                                                            
                                                                             
                                                                                            
                                                Mpenyo - Nidhamu ya fedha
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 10,000
                                                                                            
                                                                            