Kurasa Za Uchumi
Unaandikaje maisha yako sasa kwa ajili ya baadae? Wasifu wako ni mrefu kiasi gani? Utakua mzee nani baadae? Je, ni yule mzee mwenye matrekta na magorofa ama mwenye baiskeli na nyumba ya nyasi? Unaposafiri katika maisha kuna matrafiki wanaoweza kukupiga faini.
Faini inaweza kuwa hasara, malengo kutotimia na majanga mengine. Kurasa za Uchumi ni kitabu kinachokupatia vipande adhimu vya namna ya kupangilia maisha yako hasa eneo la uchumi
Others Also Bought
Njia za kukustawisha kiuchumi
5,000 TZS
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
15,000 TZS
Jilipe mwenyewe kwanza