Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Kwanini Walokole wengi ni Maskini Katika Eneo la Uchumi

Kwanini Walokole wengi ni Maskini Katika Eneo la Uchumi

TZS 5,000

Paperback eBook
Add to cart  

Ni dhahiri kwamba, Mungu anamipango mizuri na mikubwa kwa ajili yetu sisi wanadamu lakini tumemuacha Mungu na kuamua kushika vile tunavyo vijua sisi kiasi kwamba Mungu mwenye mapenzi mema tumemsahau kabisa.

Kupitia kitabu hiki kidogo utaweza kuyabadilisha maisha unayoishi sasa na kuelekea kwenye maisha ambayo ndio kusudio la Mungu sisi kuyaishi. Tafiti zinaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wanaofanikiwa/waliofanikiwa kiuchumi sio walio okoka bali ni watu wa mataifa (Ni kwa takribani asilimia Zaidi ya 65% +) na wakati huo huo asilimia kubwa ya mafanikio pekee kwa watu walio okoka ni ya ulimwengu wa Rohoni / kukua kiimani.

Kwa kutambua changamoto hii, ndani ya kitabu hiki utajifunza misingi muhimu ambayo itaenda kukuvusha kutoka hatua ya chini ya kiuchumi uliyonayo Kwenda hatua nyingine kubwa


Recommended for you

FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
TZS 15,000
View options
Ijue Elimu ya Fedha
Ijue Elimu ya Fedha
TZS 10,000 TZS 5,000
View options
Jiandae Kustaafu
Jiandae Kustaafu
TZS 5,000 TZS 3,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.