MALKIA ONDOKANA NA MADENI
Jifunze njia 10 za kumaliza madeni kirahisi na njia 8 za kuongeza kipato
Je wewe ni mwanamke unayekabiliwa na mzigo wa madeni yasiyoisha?.Kitabu hiki kimetungwa mahsusi kwa mwanamke jasiri anayetaka kumaliza madeni kirahisi na kusimama tena kifedha.
Utajifunza:
✅ Njia 10 rahisi na za vitendo za kulipa madeni bila maumivu makali
✅ Mikakati 8 ya kuongeza kipato hata ukiwa nyumbani
✅ Mbinu za kiakili za kufanya usinase kwenye mnyororo wa madeni.
✅ Hatua za kujijengea uhuru wa kifedha na amani ya moyo
Hiki si kitabu cha nadharia tu — ni mwongozo unaoweza kuchukua hatua leo na kuona mabadiliko kesho.
👑 Ni wakati wako, Malkia, kuondokana na madeni na kuanza safari ya kipato na utulivu wa kifedha.
Others Also Bought
Uwekezaji katika Hisa, Hatifungani na Vipande
10,000.00 TZS
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
Jilipe mwenyewe kwanza