Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Mpenyo - Nidhamu ya fedha

Mpenyo - Nidhamu ya fedha

TZS 10,000

Paperback eBook
Add to cart  

Sentensi nitakayosema hapa huwa inawakasirisha watu wengi sana. Pengine inaweza kukukasirisha hata wewe pia! Matatizo yako ya Fedha hayasababishwi na Serikali, Uchumi, Bosi wako, Baba au Mama mwenye nyumba yako, Mchumba, Mume/Mke n.k, Amini usiamini matatizo uliyonayo yanasababishwa na wewe Mwenyewe!

Kutokana na Mtaalam wa Masuala ya Fedha na Uwekezaji Ndugu Dave Ramsey, anatuambia kwamba matatizo ya kifedha kwa Asilimia 80 yanasababishwa na tabia zako wakati asilimia 20 yanasababishwa na kukosa maarifa sahihi. Hivyo ili kufanikiwa kifedha, licha ya kujifunz na kujiongezea Maarifa ya kichwa ni lazima kushughulikia Tabia zetu na kuzikabili, hii inamaanisha uwe tayari kuishi tofauti na unavyoishi sasa.

Kama mtu ni Mgonjwa, njia rahisi ya kupona kwanza ni kukubali kwamba anaumwa. Tatizo watu wengi hawapendi kukubali kwamba wana Tatizo fulani. Hili huwafanya wasitafute

Usumbufu wa matatizo yao. Uzoefu wangu unaonesha kuwa Wanaume wana tatizo hili zaidi kuliko Wanawake, kama una matatizo ya Kifedha na umenuia kuyaondoa ninategemea sio tu kwamba utakubali, bali ninategemea utafanya Juhudi kuangalia au kuelewa Ukubwa wa tatizo ulilonalo. Ili kujua hali ya Afya yako ya kifedha na kama uliruka zoezi Tathmini ya Afya yako ya Kifedha(Financial Intelligence Test) lililoko Mwanzoni wa Kitabu hiki, huu sasa ni Wakati wa kurejea na kulifanya na kupata Tathmini Halisi.


Recommended for you

Mpenyo - ubora na ubunifu
Mpenyo - ubora na ubunifu
Not available
View options
Deni la dhababu
Deni la dhababu
TZS 20,000
View options
Mfuko wa dharura
Mfuko wa dharura
TZS 15,000
View options
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
TZS 15,000
View options
Jilipe mwenyewe kwanza
Jilipe mwenyewe kwanza
TZS 10,000 TZS 8,500
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.