Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Mpenyo - ubora na ubunifu

Mpenyo - ubora na ubunifu

TZS 10,000
Not available  

Tabia ya kuiga katika Biashara ni moja kati ya Changamoto za wafanyabiashara na Wajasiriamali wengi hapa Afrika. Mara nyingi wengi husubiri kuona wengine wameanzisha nini kisha wao huiga kila kitu kama kilivyo na kufanya Biashara au shughuli ile ile.

Hili jambo linatokea kila sehemu nchini kwa sababu Wananchi walio wengi hawajafundishwa au hawajajifunza jinsi ya kuwa Wabunifu!

Hapa jijini Dar es Salaam kuna Kampuni moja ya Usafirishaji ambayo inatoa huduma za Teksi kwa bei nafuu sana, Kampuni hii haimiliki Teksi zozote, haimiliki Gereji au Yard kwaajili ya kuziweka Teksi zake wala haijihuisishi na matengenezo ya Teksi zake. Ndugu hawa kwa kutumia mtandao wa Internet wamewaajiri Maelfu, wao huchukua Asilimia 25 ya Mapato yote na kuwaachia 75% Madereva wao!.

Huu ndio Ubunifu katika viwango vya juu zaidi.


Others Also Bought

Mpenyo - Nidhamu ya fedha
Mpenyo - Nidhamu ya fedha
TZS 10,000
Add to cart
Breakthrough - How to succeed financially in challenging economic times
Breakthrough - How to succeed financially in challenging economic times
TZS 30,000
Add to cart
Mfuko wa dharura
Mfuko wa dharura
TZS 15,000
Add to cart
Ijue Elimu ya Fedha
Ijue Elimu ya Fedha
TZS 10,000 TZS 5,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.