Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Uchumi na Kanisa la leo

Uchumi na Kanisa la leo

TZS 7,000

Paperback eBook
Add to cart  

Kitabu hiki cha ―UCHUMI NA KANISA LA LEO‖ kimeandaliwa maalumu kwa ajili ya kumsaidia mwamini kupata misingi itakayomwezesha kukua kiuchumi kwa kupitia kujua utimilifu wa ahadi za Mungu kwa mwanadamu juu ya uchumi kupitia kuteswa kwake kristo ― kwa kupigwa kwake sisi tumepona!

Kwa sababu ya ustawi kiroho na kimwili, kuna umuhimu mkubwa sana kwa mwamini kujifunza suala la uchumi. Mwanadamu ana mahitaji ambayo hayaishi na huwa yanakawaida ya kujirudia mara kwa mara kwa mfano mahitaji ya chakula, mavazi, mawasiliano, usafiri, matibabu na huduma za kila siku kama umeme, maji na kulipia gharama za elimu kwa watoto.

Kanisa linahitaji fedha (uchumi imara) kwa ajili ya kuendeleza kazi ya kuujenga ufalme wa Mungu. Waumini wa kanisa wanahitaji uchumi ili waweze kuhusika katika ujenzi wa kanisa na kuchangia huduma mbalimbali ndani ya kanisa.

Waumini wana mahitaji ya kila siku, mahitaji yanayowafanya wakati mwingine licha ya kuwa na moyo mzuri, wanashindwa kushirika shughuli mbalimbali zinazogusa eneo la uchumi Kama vile sadaka, fungu la kumi, michango ya ujenzi na maendeleo, kuwatunza watumishi wao, kama wachungaji na walimu wao pamoja na kuanzisha miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii.

Dhima kuu katika kitabu hiki ni kuleta mabadiliko chanya kwa kanisa la leo na kumsaidia mkristo kujua misingi ya uchumi na ahadi za mungu kupitia biblia takatifu. Aidha kukuza ari ya kujitambua, kujithamini, kujiamini, kuthubutu na kuamua kuanza kuchukua juhudi za makusudi kufikia uchumi mkubwa.


Recommended for you

Ijue Elimu ya Fedha
Ijue Elimu ya Fedha
TZS 10,000 TZS 5,000
View options
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
TZS 15,000
View options
Kwanini Walokole wengi ni Maskini Katika Eneo la Uchumi
Kwanini Walokole wengi ni Maskini Katika Eneo la Uchumi
TZS 5,000
View options
Njia za kukustawisha kiuchumi
Njia za kukustawisha kiuchumi
TZS 5,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.