Uwekezaji katika Hisa, Hatifungani na Vipande
Kitabu hiki kinatoa mwongozo sahihi kwa mtu yeyote anayetaka kuelewa na kuanza safari ya uwekezaji katika hisa, hatifungani na vipande.
Kwa lugha rahisi na mifano ya vitendo, mwandishi Ramadhani Zaidi Rupiah anawasilisha maarifa muhimu kuhusu masoko ya mitaji, namna ya kuwekeza, kuchagua kampuni sahihi, na kukuza uhuru wa kifedha.
Ni rejea bora kwa Watanzania wanaotaka kujifunza jinsi ya kuifanya fedha yao kufanya kazi kwa ajili yao.
Others Also Bought

FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
TZS 15,000

SmartPesa Kid’s: Mwongozo wa Kumfundisha Mtoto Elimu ya Pesa Mapema

Elimu Ya Uwekezaji