Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Uongozi na usimamizi
  • Kuanguka kwa Kiongozi

Kuanguka kwa Kiongozi

  TZS 7,500
Add to cart  

Maisha ya Viongozi wa kiroho yapo katika hatari wakati wote, hivyo hawana budi kuwa macho na kuwa na tahadhari siku zote. Kuna mitego na hatari nyingi zilizoji­cha ambazo zinawawinda. Kiongozi asipokuwa makini atajikuta amenaswa katika mitego hii na kuangaamia.

kitabu hiki ambacho ni msaada mkubwa kwa Viongozi wa kiroho na watumishi wa Mungu mahali popote; kwa ajili ya kusimama imara na kujilinda dhidi ya mitego na hatari zilizoji­cha katika huduma dhidi yao.

Katika kitabu hiki utapafa fursa ya kujifunza mambo mengi muhimu kama vile:

• Chanzo kikuu cha Kuanguka kwa viongozi wa kiroho.

• Maeneo makuu matatu yanayowaangusha viongozi wa kiroho

• Tahadhari na jinsi ya kujilinda na kuanguka

• Huduma ya kumrejeza kiongozi aliyeanguka.


Others Also Bought

Jinsi ya kufanikiwa katika uongozi
Jinsi ya kufanikiwa katika uongozi
TZS 10,000
Add to cart
Uadilifu wa Kiongozi
Uadilifu wa Kiongozi
TZS 7,500
Add to cart
Ijue Elimu ya Uongozi
Ijue Elimu ya Uongozi
TZS 5,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.