Lugha ya Kiswahili kidato cha kwanza
Ni miongoni mwa vitabu ambavyo vimezungumzia mada zote za kidato cha kwanza Kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi kuwa Na uwezo wa kuielewa lugha ya Kiswahili.
Kitabu hiki kimeandikwa ili kukidhi haja na shauku ambayo kila mtu atakayekipata kitabu hiki atafurahi sana kwani kinaeleweka ipasavyo na kinamwezesha mwanafunzi kupata ujuzi pamoja na maarifa mapya katika lugha ya Kiswahili. Kupitia kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;
- Lugha na utamaduni
- Sarufi ya Kiswahili
- Matumizi ya kamusi
- Kusikiliza mazungumzo
- Kusoma kwa ufasaha na ufahamu
- Kuwasiliana kwa njia ya mazungumzo
- Kuwasiliana kwa njia ya maandishi