Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Vitabu vya kiada
  • Lugha ya Kiswahili kidato cha kwanza

-35%

Lugha ya Kiswahili kidato cha kwanza

7,800.00 TZS  5,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Ni miongoni mwa vitabu ambavyo vimezungumzia mada zote za kidato cha kwanza Kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi kuwa Na uwezo wa kuielewa lugha ya Kiswahili. 

Kitabu hiki kimeandikwa ili kukidhi haja na shauku ambayo kila mtu atakayekipata kitabu hiki atafurahi sana kwani kinaeleweka ipasavyo na kinamwezesha mwanafunzi kupata ujuzi pamoja na maarifa mapya katika lugha ya Kiswahili. Kupitia kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;

  1. Lugha na utamaduni

  2. Sarufi ya Kiswahili

  3. Matumizi ya kamusi

  4. Kusikiliza mazungumzo

  5. Kusoma kwa ufasaha na ufahamu

  6. Kuwasiliana kwa njia ya mazungumzo

  7. Kuwasiliana kwa njia ya maandishi


Others Also Bought

Jifunze Kiswahili: Kidato cha 1 - 4
Jifunze Kiswahili: Kidato cha 1 - 4
3,800.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Privacy policy
  • Return policy
  • Cookies policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.