Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support

Kuwa mwandishi serious inataka nini?

December 15, 2022 at 3:49 pm,


Msomaji anaposoma kitabu cha mwandishi fulani huwa anakutana na mambo ambayo yatampa picha ya kumuona mwandishi yupo serious au la. Kwa bahati mbaya, wasomaji wengi wanapomwona mwandishi hayupo serious hubaki na dukuduku moyoni bila kumpa mwandishi mrejesho wa kitabu chake. Hii sio poa hata kidogo lakini ndio uhalisia wa mambo ulivyo


Mwandishi huonekana hayupo serious ikiwa atafanya makosa fulani fulani kuanzia kwenye kuandaa kitabu chake mpaka kitabu kinapofika kwa wasomaji.

Sasa,

Kuwa mwandishi serious inataka nini? Hili si swali jepesi lakini majibu yake yapo. Upo tayari kufahamu majibu yake? Kama ndio, nataka nikwambie jambo moja zaidi.

Nimeandaa mafunzo ya bure kwa waandishi wa vitabu ambayo yataanza Jumatatu ya 19.12.2022. Kwenye mafunzo haya nitafundisha kuhusu MAKOSA YA KUEPUKA ILI UWE MWANDISHI WA VITABU ULIYE SERIOUS. Kwa nini mafunzo haya? Nitakachofundisha itakuwa ni majibu ya swali “Kuwa mwandishi serious inataka nini?” na msukumo wangu ni wewe uonekane ni mwandishi uliye serious kwa watu ambao watashika kitabu chako na kukisoma.

Kinachofuata?

Najua sasa unajiuliza, naingiaje kwenye mafunzo haya? Ni rahisi sana, nitafundisha kwenye group la WhatsApp la Free DaudiPages Courses na bila kuchelewa jiunge sasa hivi hapa,
 

Weka taarifa zako hapa chini kujisajili kwenye kozi. 

GHARAMA YA KOZI NI TSH. 15000. LIPA KWENDA +255 653 740 098. WEKA MESEJI YA MALIPO KWENYE SEHEMU YA MALIPO HAPO JUU

N.B: LIPA KWANZA KISHA RUDI KUWEKA MESEJI YA MUAMALA NA TUMA TAARIFA.

Kwa msaada zaidi, bonyeza hapa

Usajili umekamilika!

Sasa fungua barua pepe yako, kupata password ya kuingia kwenye kozi na anza kozi yako mara moja!. 

.

Utapata nini zaidi kwenye mafunzo haya?

Mbali ya kufaidika na mafunzo niliyoandaa ambayo ni bure, pia nitatoa ofa na bonasi kedekede kwa wote ambao watakuwa kwenye mafunzo haya. Ofa na bonasi hizi ni kwenye kozi za uandishi wa vitabu na vitabu vyangu nilivyoandika. Si tamu hii aisee!

See you 19.12.2022!



Recent Posts

  • Umechoka na Minyama Uzembe? Suluhisho la Kupungua Uzito Limepatikana!
    17 Apr, 2025
  • Vitabu Bora vya Pasaka vya Kukuimarisha Kiroho – Vinapatikana Sasa DL Bookstore
    11 Apr, 2025
  • 4 Benefits of Selling Your Book Through DL Bookstore
    20 Mar, 2025
  • Download Entrepreneurship Books (PDF) in Swahili
    10 Feb, 2025
  • Download Nine (9) Must-Read Books for Girls and Women 📚✨
    4 Feb, 2025
  • A Tanzanian Platform for Selling Books Online
    4 Feb, 2025
  • Jinsi ya Kuandika Caption Inayochochea Mauzo ya Kitabu Chako
    23 Nov, 2024

selling_book-1.png

Enroll in 100% free courses

100% free courses on writing, publishing, and marketing of books. Time to dive in!

Start learning →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.