Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Free books
  • Nguvu ya maamuzi

Nguvu ya maamuzi

  0.00 TZS
Add to cart
Downloadable file How to buy

Maisha ni safari inayochongwa na maamuzi tunayofanya. Kila hatua, kubwa au ndogo, huongoza mustakabali wetu. Wengi hupuuzia nguvu ya maamuzi, kumbe ndiyo msanifu wa kwanza kwenye hatima. Hatua ya kizembe huzaa majuto, lakini uamuzi wa busara hufungua milango ya amani, mafanikio na utimilifu wa ndoto.

Kitabu hiki kimeandikwa kuwasaidia vijana na wahitimu wa vyuo kuelewa kwamba maamuzi si vitendo tu—ni mbegu zinazopandwa katika udongo wa kesho. Katika dunia ya leo, vijana hukabiliwa na shinikizo nyingi: marafiki, mazingira, hisia na ukosefu wa maarifa ya kutosha. Mara nyingi nguvu hizi huwasukuma kufanya maamuzi ya haraka au ya kizembe, ambayo baadaye hubeba mzigo mzito wa majuto


Others Also Bought

Tumia Fursa Tengeneza Biashara
Tumia Fursa Tengeneza Biashara
6,000.00 TZS 4,999.00 TZS
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
9,999.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.