Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Afya na ustawi
  • Afya Njema

Afya Njema

  4,000.00 TZS

eBook
Add to cart  
Kitabu hiki kinalenga kuzungumzia kwa kina suala zima la afya njema, ambayo ni msingi muhimu wa maisha ya mwanadamu. Katika ulimwengu wa sasa, afya imekuwa ikikumbwa na changamoto mbalimbali zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa, maendeleo ya sayansi na teknolojia, pamoja na mabadiliko ya mifumo ya maisha ya binadamu. 

Mabadiliko haya yamechangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa magonjwa mbalimbali, yakiwemo magonjwa ya mlipuko, magonjwa yasiyo ya kuambukiza, pamoja na matatizo mengine mengi ya kiafya. Kutokana na hali hiyo, ipo haja kubwa kwa jamii kupata elimu sahihi kuhusu namna ya kujikinga na magonjwa na kudumisha afya bora. 

Mojawapo ya njia muhimu za kufikia lengo hili ni kwa kuzingatia lishe bora pamoja na mtindo sahihi wa maisha. Lishe bora ina mchango mkubwa katika kuimarisha kinga ya mwili, kuzuia magonjwa, na kuboresha ustawi wa jumla wa binadamu.Hivyo basi, katika kitabu hiki tutajadili kwa undani aina mbalimbali za magonjwa, sababu zake, pamoja na njia za kujikinga nayo. 

Aidha, kitabu hiki kitaelezea aina tofauti za vyakula vinavyofaa kwa afya ya mwanadamu, thamani yake mwilini, na umuhimu wa kuvijumuisha katika mlo wa kila siku. Lengo kuu ni kuielimisha jamii ili iweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya zao na hatimaye kuboresha maisha yao kwa ujumla.


Others Also Bought

Mwongozo wa kupungua uzito kwa njia salama na ulaji sahihi
Mwongozo wa kupungua uzito kwa njia salama na ulaji sahihi
30,000.00 TZS
Aleji ya Chakula na Kutostahimili Chakula
Aleji ya Chakula na Kutostahimili Chakula
10,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.