Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Faragha ya Kiroho

Faragha ya Kiroho

TZS 7,000

Hardcopy Softcopy
Add to cart  

Ili tuweze kukua kiroho katika mahusiano yetu binafsi na Mungu na kutembea katika uwepo wake basi, tunahitaji sana kuwa na nidhamu ya kuwa na faragha ya kiroho. Faragha ya kiroho ni nidhamu ya kutokuwepo na watu wengine na vitu vingine kwa muda fulani ili kwamba uweze kuwa katika uwepo wa Mungu. Ni vizuri mara kwa mara, kuondoka na kwenda mahali pa pekee yako na kuwa na wakati wa pekee yako na Mungu.

Kama ambavyo mtu anayefanya mazoezi ya kimwili mara kwa mara, anavyokuwa na afya nzuri, kadhalika mtu anayefanya mazoezi haya ya kiroho mara kwa mara katika faragha anakuwa na afya nzuri ya kiroho. Mazoezi ya kiroho unayo yafanya kwenye faragha yako ya kiroho yana kuleta karibu na Mungu na kukufanya kuwa mtauwa zaidi katika tabia na mwenendo wako, yanabadilisha maisha yako siku kwa siku

Katika kitabu hiki utajifunza kwa kina juu aina na jinsi ya kufanya maozezi ya kiroho katika mahali pako pa siri, pekee yako na Mungu.


Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.