Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Huduma ya Ushauri Katika Mtazamo wa Kikristo

Huduma ya Ushauri Katika Mtazamo wa Kikristo

TZS 15,000

Hardcopy Softcopy
Add to cart  
Kitabu hiki kimeaandika ilikukabiliana na uhitaji mkubwa wa mafunzo ya ushauri. Kumekuwa na wimbi kubwa la uendeshaji wa huduma za ushauri , na washauri wengi hawajapata nafasi ya kupata mafunzo rasimi ya ushauri. Lakini wamekuwa wanafanya kazi kubwa sana ya kusaidia maisha ya watu wengi wanaopitia matatizo mbalimbali ya kiroho, kihisia, kiakili na kimwili.

Msukumo, mzigo na wito  na karama ya kuwasaidia wengine katika  kutoka kwenye matatizo yao ni msingi katika huduma ya ushauri, lakini hata hivyo hatuwezi kupuuzia umuhimu wa kufanya ushauri kama taalamu rasmi. Hivyo basi ni muhimu huduma ya ushauri ifanywe kwa kuzingatia vigezo vyote muhimu vya kitaaluma.

Katika kitabu hiki kuna  maarifa  mengi muhimu ya kuwasaidia  watumishi wanaofanya huduma ya ushauri ili waweze kuifanya kwa ufanisi na umahiri.  Maeneo muhimu yaliyogusiwa ni kama vile Misingi ya huduma ya ushauri, Aina mbalimbali za ushauri,  Njia  mbalimbali za kufanya ushauri, Ushauri na Theolojia,  Ushauri na Saikolojia, Sifa za mashauri,  Maadili ya kufanya  huduma ya ushauri, Kanuni na Ujuzi wa ushauri, Hatua za kufanya ushauri na mengine mengi.


Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.