Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Ushauri wa Afya ya Akili

Ushauri wa Afya ya Akili

TZS 7,500

Paperback eBook
Add to cart  

Afya ya akili ni mada tata ambayo imekuwa  ni changamoto inayo athiri watu wengi kwenye nyanja zote za maisha. Leo hii matatizo ya afya  ya akili na magonjwa ya akili yanayo ongezeka sana na kuwa ni kawaida katika jamii.  Ni uhalisia wa kweli kwamba mtu yeyote yule anaweza kuwa kupitia changamoto na mapambano ya afya ya akili.

Ili kuepukana na mtazamo potofu unaozunguka masuala ya afya ya akili katika jamii, tunahitaji kuweka kipaumbele katika elimu na ulewa sahihi kwa  kujielemisha wenyewe na wengine juu ya uhalisia wa changamoto za afya ya akili, magonjwa ya akili, matibabu mbadala yaliyopo na athari ambazo zinaweza kuwepo juu ya maisha ya watu.

Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtazamo wa kibiblia na kisaikolojia  na utapata fursa ya kujifunza mambo mengi kuhusu afya ya akili na hisia, kama vile, uhusiano wa afya ya akili na afya ya mwili,  sababu na vyanzo za matatizo ya afya ya akili, dalili mbalimbali za matatizo ya afya ya akili, aina za magonjwa ya akili, kinga na tiba   dhidi ya matatizo ya afya ya akili  na jinsi ya kuwapa huduma ya kwanza ya ushauri wale wanaopitia changamoto ya afya ya akili.


Recommended for you

Changamoto Ya Afya Ya Akili, Suluhisho Na Sheria Yake Nchini Tanzania
Changamoto Ya Afya Ya Akili, Suluhisho Na Sheria Yake Nchini Tanzania
TZS 7,000
View options
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
TZS 6,999
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.