Jinsi ya kutembea katika majira mapya kwa faida
Downloadable file
How to buy
Kitabu hiki ni mgodi uliosheheni madini kwa ajili ya mtu anayependa kuwa na matokeo maishani. Majira mapya ni majira ya baraka, ni majira ya kicheko, ni majira ya kukumbukwa na majira ya kutembea katika kusudi la kuumbwa kwako. Kitabu hiki kinakupa tafsiri pana ya majira na tabia za mtu anayeweza kutembea katika majira mapya.
Kinachambua kwa kina kuhusu dalili za mtu aliye tayari kuingia katika majira mapya na kukupa namna ya kuyafungulia majira hayo. Ili ufaidike na majira mapya, ni sharti ujue jinsi gani uishi ndani yake, ukilijua hilo, daima utakuwa ni mtu wa kupiga hatua kuelekea mbele na kamwe si nyuma.
Others Also Bought
Njia ya Kutembea katika Kibali na Neema
7,000.00 TZS