Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Njia ya Kutembea katika Kibali na Neema
Ni mapenzi ya Mungu, watu wake wapate kibali na neema ili waweze kuinuliwa katika maisha yao, na baada ya kuinuliwa kwa kupata neema na kibali, waendelee kudumu kuinuliwa kwa kuendelea kutembea katika kibali na neema.
Watu wengi upata kibali na neema, na baada ya Muda upoteza kibali na neema walichokuwa wamepata, jambo ambalo usababisha kuanguka baada kuinuliwa.
Mungu anataka unapopata kibali na neema ukainuliwa usishuke chini tena.
Kitabu hiki kinakupa kanuni za kiblia za jinsi ya kupata kibali na neema, na jinsi ya kudumu na kuendelea kutembea katika neema na kibali.