Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
SUB ROSA - Maisha Nyuma Ya Pazia
Mwonekano wa nje unaweza kuwa tofauti na uhalisia wa ndani wa mtu. Maneno ya mtu yanaweza kuwa tofauti na uhalisia. Mtu mmoja aliwahi kusema "mwanasiasa akikuambia usiku mwema, Toka nje ukaangalie kama ni usiku kweli". Kauli hii ilimaanisha maneno wanayoongea wanasiasa hayana uhalisia japo inaweza isiwe Kwa wote.
Uhalisia unabaki kuwa, siku ya mwisho Kuna watu hawataingia mbinguni na itashangaza machoni pa wengine maana waliwaona Kwa mtazamo mwingine. Kupitia kitabu hiki utaenda kujifunza mambo mengi yanayohusiana na utumishi lakini pia namna ya kutembea sawasawa na mapenzi ya Mungu.
Tunaishi katika nyakati za mwisho, mwana wa Mungu nakusihi uwe macho sana usije ukapoteza mahusiano yako na Mungu.