Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Mafundisho awali ya Neno la Mungu

Mafundisho awali ya Neno la Mungu

TZS 7,000
Add to cart  

Kupitia kitabu hiki utajifunza masomo ya awali ya Biblia na ya msingi ya wokovu. Masomo hayo ni: Wokovu , Ubatizo wa Kikristo, Ubatizo wa Roho Mtakatifu, Biblia, Maombi, Kusifu na kuabudu, Majaribu, Vita vya kiroho na kutumia mamlaka , Utoaji, Kushuhudia/Uinjilisti, Mambo ya siku za Mwisho na Imani potofu.

Kila Mkristo anaweza na anapaswa kufahamu Biblia na mafundisho ya msingi ya Kikristo. Wakristo wengi wanadhani wanajua Biblia vya kutosha.  Ujinga hauna faida na ujinga wa makusudi ni dhambi.

Baada ya kumaliza kujifunza masomo haya utaweza kumtumikia Mungu kwa ufanisi katika huduma mbalimbali kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo (Kanisa) na kutimiza kusudi lake la ki-Mungu na wito wake.Pia utaboresha uwezo wako wa kuyaelewa maandiko, kuyatafsri na ujuzi wako katika kuhubiri.

Kusudi kubwa ni kubadilisha maisha ya watu yawe bora zaidi kwa kuyaelewa katika vitendo masomo yote utakayojifunza ili uweze kutumia maarifa na ujuzi.

Mungu akubariki sana


Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.