Maombi Yaletato Mpenyo
MAOMBI YALETAYO MPENYO - Fahamu Jinsi Ya Kuomba Ili Kufunguliwa, Na Kupokea Baraka Na Uponyaji Kutoka Kwa Mungu, ni kitabu kilichojaa maarifa na ufahamu wa kukusaidia kujifunza na kuelewa na kuomba binafsi na kupata mpenyo utakaoweza kukusaidia kuweza kufunguliwa katika maeneo mbalimbali ya maisha yako ikiwemo uchumi, magonjwa na uelewa zaidi kuhusu maombi.
Nimekuwekea mambo haya katika maandishi, mengine sio rahisi kusikia yakifundishwa katika maeneo mengi. Namwamnini Mungu baada ya kusoma kitabu hiki utakuwa na cha kumshuhudia Mungu.
Hosea 4:6a “Watu wangu wanaangamizwa Kwa Kukosa maarifa”.
Others Also Bought
 
                                                                                            
                                                Jifunze kudumu katika maombi
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 7,000
                                                                                            
                                                                             
                                                                                            
                                                Maombi ya Kushinda vita ya Kiroho
                                            
                                        
                                                                                    
                                                                                                                                                        TZS 7,000
                                                                                            
                                                                             
            