Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Mduara wa dhambi

Mduara wa dhambi

TZS 5,000  TZS 3,500

Hardcopy Softcopy
Add to cart  

Kwamba huitaki dhambi fulani lakini bado unaifanya, na kwa kadiri unavyojitahidi kuiacha dhambi hiyo ndivyo dhambi mpya zinaibuka na kukung’ang’ania.

Fikiria dhambi kama shimo kubwa lenye utelezi, ukishadumbukia humo huwezi kujitoa mwenyewe. Utajitahidi kutoka lakini utarudi chini tena, na utaendelea kuchafuka. Kinachofuata, unakata tamaa kuacha dhambi na kuona utakatifu na usafi ni jambo lisilowezekana

Mbaya zaidi matokeo ya dhambi ni dhahiri mno, hayajifichi. Mtu anaweza kuifanya dhambi kwa kificho, watu wasimwone lakini hataweza kuyaficha matokeo ya dhambi aliyoifanya.

Unafanyaje sasa?

Kwenye kitabu hiki nimeeleza jambo moja la kufanya ili upate mgeuko wenye uelekeo wa kuishinda dhambi na kisha kuishi maisha ya utakatifu na usafi. Si hivyo tu, kupata mgeuko huu kunaambatana na kurejeshwa kwa nafasi uliyokuwa umeipoteza kwa sababu ya dhambi, na kuyajua mambo gani uanze kuyafanya katika upya ambao umeupokea.

Amua kutoka kwenye mduara wa dhambi!.


Recommended for you

Mambo 7 usiyoyajua kuhusu dhambi
Mambo 7 usiyoyajua kuhusu dhambi
TZS 4,999 TZS 1,500
View options
UTAKATIFU
UTAKATIFU
TZS 7,000
View options
Siri Iliyojificha Juu ya Uzinzi na Uasherati
Siri Iliyojificha Juu ya Uzinzi na Uasherati
TZS 5,000
View options
Yaishi Maisha Katika Wokovu
Yaishi Maisha Katika Wokovu
TZS 5,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.