Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • NGUVU YA ULIMI

NGUVU YA ULIMI

20,000.00 TZS  8,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Jinsi gani maneno yanaumba vitu kwenye maisha ya mtu, aidha ni hadi au changa. Maisha unayoishi sasa, kwa asilimia kubwa ni matokeo ya maneno ambayo aidha waliyasema waliokutangulia (wazazi, wazee wa ukoo, hasa maagano) au wewe mwenyewe. Kuna wakati huhitajiki kumlaumu mtu kwa hali inayopitia kimaisha, ila unatakiwa kuchunguza maneno yako huwa yanaumba vitu gani kwenye maisha yako.

Na matokeo yake kama vile umasikini, tabia mbaya, magonjwa, roho ya kukataliwa, uongozi au utajiri, huwatokea watu bila kujua ni kwanini. Lakini ukweli ni kwamba kuna maneno yalitolewa kwenye maisha yako, na hayo yamekuwa yanaumba vitu kwako, na kwa vizazi vyako


Others Also Bought

Chochea Kipaji Chako
Chochea Kipaji Chako
5,000.00 TZS 4,500.00 TZS
Mwingine sio wewe
Mwingine sio wewe
5,000.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.