Sadaka na Baraka Zake
Ni kitabu kinachofundisha umuhimu wa sadaka na utoaji.
Kitabu hiki kinafaa sana kufundisha wacha Mungu juu ya kujenga nidhamu ya mahusiano na Mungu kwa njia ya utoaji wa sadaka, ambapo kupitia utoaji kutamfanya aishi maisha ya ushindi hapa duniani.
Kitabu hiki kinaweza kusomwa na watu wote na ili kupata elimu na namna ya kuishi kwa usahihi hapa duniani.
Kumbuka mwanadamu ili afanikiwe si tu anahitaji bidii, ujuzi na nguvu bali anahitaji pia kuwa na muunganiko na uungu ili apate usaidizi wa kiroho ili aweze kufikia karima yake.
Kitabu hiki kimefundisha kwa undani sana juu ya sadaka na aina zake na matokeo yake , ambapo msomaji ataelewa kwa upana bila shake yoyoyte wala maswali
Share this book and earn 10%
The author listed this title in our affiliate program. Join the affiliate program to get your own link and earn 10% of every sale you refer.