Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Safari ya Imani
Maisha Yana tafsiri mbalimbali kulingana na jinsi ambavyo Kila mtu anaweza kuyapa maana lakini maisha yanakosa maana kama mtu anaishi nje ya kristo.
Ni kweli tunamambo mengi tunafanya lakini bila Yesu hatuwezi kufika kule kwenye kusudi. Mungu amenipa neema hii kuzungumza na wewe Kwa njia ya kitabu hiki ambacho naamini kama utasoma Kwa makini na kuyafuata mafundisho ya kitabu hiki sawa sawa na neno la Mungu, hutabaki kama ulivyo.
Ninakukaribisha kukisoma kitabu hiki na utapata neema ya kujua thamani ya wokovu na jinsi ya kuukulia wokovu sawa sawa na neno la Mungu.